Volunteer kutoka BAGODE wakijadiliana na vikundi vya kijamii wilaya ya Nyamagana namna ya kupunguza udumavu kwa wamama wajawazito na watoto chini ya miaka 2, pia wanajifunza ulimaji wa bustani za magunia na namna ya kutibu maji safi na salama ya kunywa
0 Comments