vikundi kutoka kata ya Igoma, wilaya ya Nyamagana, mkoa wa mwanza, wakionja chakula baada ya kujifunza kwa vitendo, upishi wa chakula mchanganyiko chenye virutubisho kwa watoto kuanzia miezi 6 na kuendelea.